VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

Haya mapenzi ya mpira noma sana kiukweli.Ile game ya Arsenal vs Manchester United sitokaa niisahau maisha yangu yote maana sikulala kabisa na kesho yake nilishindwa hata kutoka ndani.
Kuna kitu umesema hapo mimi pia niko hivyo hivyo kabisa.
 
Asante sana mbeya city wachezaji na uongozi point moja muhimu kwetu. Natumai tutawafunga yanga na simba wajiandae. mungu tubariki.
 
TFF waichunguze hii mechi.
Nina imani ukweli utapatikana na wahusika wataadabishwa.Bao8 kwa bila alafu tukae kimya?
utakua ni upuuzi.Hii mechi kuna namna tuu.NASEMA HAIWEZEKANI NYAMBAFU!!
 
Mkuu ulitabiri 5 lakini washambuliaji wameongeza na kukupotezea utabiri wako, hata hivyo umetisha maana ulikiona kiama hiki.

Asante Young Africans kwa matokeo haya.
 
TFF waichunguze hii mechi.
Nina imani ukweli utapatikana na wahusika wataadabishwa.Bao8 kwa bila alafu tukae kimya?
utakua ni upuuzi.Hii mechi kuna namna tuu.NASEMA HAIWEZEKANI NYAMBAFU!!

Ile ya Real Madrid wameanza kuichunguza?
 
Hivi upo serious au unatania?

TFF waichunguze hii mechi.
Nina imani ukweli utapatikana na wahusika wataadabishwa.Bao8 kwa bila alafu tukae kimya?
utakua ni upuuzi.Hii mechi kuna namna tuu.NASEMA HAIWEZEKANI NYAMBAFU!!
 
Mkuu ulitabiri 5 lakini washambuliaji wameongeza na kukupotezea utabiri wako, hata hivyo umetisha maana ulikiona kiama hiki.

Asante Young Africans kwa matokeo haya.
Ndiyo mkuu lakini kwenye 3+ nilipatia, kama unataka kubet leo sema nikupatie timu za ushindi
 
Kidogo tu Tambwe aweke kama zile za C. Ronaldo
 
Chamazi game imeisha kwa droo

Azam 1 - 1 MCC
Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii, timu langu la mkoa limeniwakilisha vyema, safi sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, watu weweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…