Julio kasemaje???
Hahahaaa Matola bwana?
Nimekusoma sana.
FT
Azam 1 - 1 MCC
Hongereni kwa ubingwa maana mmeongeza gap na hao jamaa.
ikibidi watafutie kabisa usafiri gharama juu yetu wasipate visingizio
mkuu azam nao vipi matokeo?? Hongereni sana
Ligi bado mkuu...si umeona mwaka huu ligi ilivyo ngumu
Nipo nimekuja
Yani leo raha tupu halafu ndio nimepanga kupumzika nyumbani nisiende vijiwe vya pombe kwakweli leo sijitendei haki.
Hongera kwa kutii wito mkuu waambie nå wenzako mje wote
Wapi nitapata jezi za Etoil Du sahel?
Mkuu sikumbuki kama umetupongeza leo
Wapi nitapata jezi za Etoil Du sahel?