Peculiar
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 821
- 689
Kagera alipigwa 8 na Yanga mwaka 1993 kama sijakosea, zile enzi za Lunyamila, Mohamed Husein na Saidi Mwamba.
Kwahiyo,ukisikia 8 ujue yanga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kagera alipigwa 8 na Yanga mwaka 1993 kama sijakosea, zile enzi za Lunyamila, Mohamed Husein na Saidi Mwamba.
Wanayanga mie ni mwenzenu ni mgeni humu ndani,na pia huku ndiko nikupendako,nikaribisheni ili tuwe kitu kimoja mpaka kifo.Mimi ni Yanga DAMU!!!
Karibu sana kijiweni...
Ukimuona Simba kamata mkia kata...
Fuatilia historia, Yanga kumfunga Coastal Union nyingi si mara ya kwanza. Coastal huponzwa na jezi yake kama vile mbega alivyoponzwa na uzuri wake.
Mbega yupi, yule mama!!!
mbega ni aina ya mnyama jamii ya nyani hupatikana sana huko Unguja...wana manyoya mazuri
Vipi leo huna 'chochote' kuhusu hii mechi?
Kwa kweli leo sina chochote maana sijasikiliza redion wala sijaangalia kwenye kideo, sana sana nilikuwa napata update ya matokeo tu hapa.
Ndiyo nataka ani PM anipe namba yake nimtumie m-pesa au tigo pesa kama kumtaka radhi. Watu8 huko uliko nitumie namba yako please au kama vp twende wote uwanjani nitakulipia kiingilio na bia nitakununulia pale nje kabla ya kuingia uwanjani na baada ya kutoka pia
usisahau kumnunulia na hawa samaki mi ndio nakula niingie uwanjan
Mbega yupi, yule mama!!!