Sasa huyu jamaa atakuwa na goli ngapi mpaka sasa ?
Ndio naingia wakuu kabla ya kuanza kupitia page moja baada ya nyingine nipeni matokeo.
Hao el du sahel watakuwa wanatetemeka wakiona mambo ya Yanga yanayoendelea sasa
hayo ni mazoezi kama mechi..
anae tafutwa hapo ni yule alie wadhurum mikia FC
Yanga 5 friend of simba 0
Naipenda sana Yanga ila sijui kama aleji yetu na waarabu kama imeshapata dawa.
Naipenda sana Yanga ila sijui kama aleji yetu na waarabu kama imeshapata dawa.
yanga 5-0 costal union
Yanga 5 friend of simba 0
hongereni sana