VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

VPL 8 Aprili 2015: Yanga Afrika vs Coastal Union

Ndio naingia wakuu kabla ya kuanza kupitia page moja baada ya nyingine nipeni matokeo.
 
He he kandambili mnatakata balaa kweli huu mwaka wenu ATI
 
Naipenda sana Yanga ila sijui kama aleji yetu na waarabu kama imeshapata dawa.

imesha pata dawa usijali mkuu...alhali wenyewe mwaka jana waliponea padogo sana sasa mwaka huu tuna anzia tulipo ishia
 
Michael Balou anaipatia azam goli la kwanza, MCC bila
 
Back
Top Bottom