Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
- Thread starter
-
- #141
Hapa sasa , marefa bado ni matatizo. Mechi moja magoli mawili.La kagere vipi hujaona?
Badala waamuzi walaumiwe Simba ndio wanalaumiwaHapa sasa , marefa bado ni matatizo. Mechi moja magoli mawili.
Mama_e nenda kaugulie maumivu ya Prison, mnashinda kujadili inshu za Simba mwishowe mnaaambulia sare, malalamiko FC ni sikio la kufa. Heko Prison, pamoja na Vigisu za Red Card lkn mmewatoa povu Kisinda, Mukoko, Sarpong, Sogne na Shikhalo. Hongeren Watoto wa Tziee kwa kuonyesha ubovu wa Maprooo UchwaraBarbara fc mmeshaanza kubebwa mapemaa na marefa wenu mliowasajili msimu huu
Unatoka povu umeandika mashudu matupu kwa kutumia nguvu kubwa sanaMama_e nenda kaugulie maumivu ya Prison, mnashinda kujadili inshu za Simba mwishowe mnaaambulia sare, malalamiko FC ni sikio la kufa. Heko Prison, pamoja na Vigisu za Red Card lkn mmewatoa povu Kisinda, Mukoko, Sarpong, Sogne na Shikhalo. Hongeren Watoto wa Tziee kwa kuonyesha ubovu wa Maprooo Uchwara
Unatoka povu umeandika mashudu matupu kwa kutumia nguvu kubwa sana
Hii ni mechi ya kwanza katika ligi na kikosi kina wageni ulitegemea mechi ingekuwa rahisi?
Hakucheza yupo na Barbara kitandaniKwani Senzo hajacheza? [emoji23][emoji23]
Simba SC hatuna makosa, Maana Kibendera ndo anamakosa haiwezekani, mechi moja makosa mawili ya kufanana.Badala waamuzi walaumiwe Simba ndio wanalaumiwa
Nime tokeo LA Yanga.Barbara fc mmeshaanza kubebwa mapemaa na marefa wenu mliowasajili msimu huu
Huwa naenjoy sana majibu yako.Kwani Senzo hajacheza? [emoji23][emoji23]
Punguza sauti.Hakucheza yupo na Barbara kitandani
Vp results dhidi ya wajelajelaWarembo fc bila mbeleko hawashindiView attachment 1560802
Weka matokeo yenu na prisonKwani VPL mlimfunga Yanga??wasaliti wote wamefukuzwa subiri kazi..
Eti this season atafka wap? Kwa yyte mwenye akili na UTASHI hapo kwenye wakat UJAO atakuona NDONDOCHAKilichopita kitabaki kuwa ni kumbukumbu tu, tunataka this season atafika wapi?
Na lile la kagereLinemen kakataa goli la ihefu yaani wangeenda halftime 2 kwa 2 yaani wameanza mapema kuwabeba mikia fc .sijui wanatumwa
Kwani mwanzoni ulikuwa ujui?kwanini ulikuwa unajimwambafai na team yako?Unatoka povu umeandika mashudu matupu kwa kutumia nguvu kubwa sana
Hii ni mechi ya kwanza katika ligi na kikosi kina wageni ulitegemea mechi ingekuwa rahisi?
unaweza ukasema hvyo lakini lazma ujue kama goli la ihefu lingekubaliwa huwenda ihefu wangecheza kwa juhudi zaid kulinda point yao moja ambayo wangeweza kuipata na mechi kuishia 2*2 au kupata goli la tatu au Simba wangechamka zaidi na huwenda wangefunga said ya magoli mawili tena.Kama isingekuwa kwa bad officiating of the game, haya ndiyo yangekuwa matokeo halisi ya mchezo.
Goli la Ihefu lilikataliwa lilikuwa ni goli halali na vilevile goli la Simba lililofungwa na Kagere lilikuwa ni goli halali pia. Hivyo, bado ushindi ungekuwa kwa Simba.
Mshika kobendera yule aliyekataa magoli hayo mawili ya wazi aondolewe kwani kazi hiyo imemshinda au apewe mafunzo zaidi.