VPL : Kagera Sugar Vs Young Africans

Haya matokeo yalikuwa yameandaliwa mahususi kwa ajili ya mkutano ambao ungefanyika kesho. Bahati mbaya hautafanyika, itabidi itafutwe timu nyingine ya kutengeneza mazingira siku moja kabla ya mkutano
 
86' Mins| Kagera Sugar 2 - 6 YoungAfricans

03', 48' Mbaraka Yusuph (Kagera Sugar)
05', 73' Donald Ngoma (Young African)
21' Simon Msuva. (Young African)
26', 63' Obrey Chirwa ( Young African)
57' Deus Kaseke (Young African)
 
90' Mins| Kagera Sugar 2 - 6 YoungAfricans

03', 48' Mbaraka Yusuph (Kagera Sugar)
05', 73' Donald Ngoma (Young African)
21' Simon Msuva. (Young African)
26', 63' Obrey Chirwa ( Young African)
57' Deus Kaseke (Young African)
 
Mkuu nakusubiria kwa hamu sana Timu ya Wananchi tukaporudi kwenye nafasi yetu ya kwanza Mwisho wa Mzunguko wa Kwanza
Kumbuka mnavyoanza kutembea.. Sisi tunakimbia.. Sasa mtatukamataje?
 
Haya matokeo yalikuwa yameandaliwa mahususi kwa ajili ya mkutano ambao ungefanyika kesho. Bahati mbaya hautafanyika, itabidi itafutwe timu nyingine ya kutengeneza mazingira siku moja kabla ya mkutano

Naungana nawe.. kanjibhai kwa leo kafeli, ajaribu siku nyingine.
 
Full Time | Kagera Sugar 2 - 6 YoungAfricans

03', 48' Mbaraka Yusuph (Kagera Sugar)
05', 73' Donald Ngoma (Young African)
21' Simon Msuva. (Young African)
26', 63' Obrey Chirwa ( Young African)
57' Deus Kaseke (Young African)

**********End of Update************
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…