libeva
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 4,465
- 3,615
Achana nae huyo mkiaDanny agrey ni nani?
Ewe Pashkuna nenda tu kakune nazi tuachie wenyewe na timu yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Achana nae huyo mkiaDanny agrey ni nani?
Ewe Pashkuna nenda tu kakune nazi tuachie wenyewe na timu yetu
Nanyie mngewanunua mlipowapiga 2Watani kwa kununua mechi tu....
Hawa ndo wapinzani wetu msimu huuKutoka Manungu Turiani Mtibwa 3 - 3 Stand United
Haya matokeo yalikuwa yameandaliwa mahususi kwa ajili ya mkutano ambao ungefanyika kesho. Bahati mbaya hautafanyika, itabidi itafutwe timu nyingine ya kutengeneza mazingira siku moja kabla ya mkutano
Mkuu nakusubiria kwa hamu sana Timu ya Wananchi tukaporudi kwenye nafasi yetu ya kwanza Mwisho wa Mzunguko wa KwanzaHawa ndo wapinzani wetu msimu huu
Mawazo yako mazuri kama vip jipongezeHaya matokeo yalikuwa yameandaliwa mahususi kwa ajili ya mkutano ambao ungefanyika kesho. Bahati mbaya hautafanyika, itabidi itafutwe timu nyingine ya kutengeneza mazingira siku moja kabla ya mkutano
Kunya anye kukuWatani kwa kununua mechi tu....
Kumbuka mnavyoanza kutembea.. Sisi tunakimbia.. Sasa mtatukamataje?Mkuu nakusubiria kwa hamu sana Timu ya Wananchi tukaporudi kwenye nafasi yetu ya kwanza Mwisho wa Mzunguko wa Kwanza
Sauwa tumekusikiaKagera Sugar piga mbwaa/chura wa kaunda...Yanga kufungwa ni lazima
Sauwa tumekusikia mkuuTunajua Kuwa Chaneta FC wana Ngoma! Lakini Kagera Sugar Vaeni Condom Muwagonge Hao Chaneta FC....
Mnakimbia huku mmefunga macho mnategemea nini? Lazima mjikwae tuKumbuka mnavyoanza kutembea.. Sisi tunakimbia.. Sasa mtatukamataje?
Haya matokeo yalikuwa yameandaliwa mahususi kwa ajili ya mkutano ambao ungefanyika kesho. Bahati mbaya hautafanyika, itabidi itafutwe timu nyingine ya kutengeneza mazingira siku moja kabla ya mkutano
Hawajawaangusha hongereniKagera Sugar.. Tuna imani kubwa nanyi.. Msituangushe.