GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Mnafiki mkubwa wewe shabiki wa mbumbumbu fc,unajua rekodi ya Yanga vs Mtibwa ya Maxme? Yanga kachezea sana chini ya Maxime acha unafiki,halafu wachezaji wa zamani wa Yanga kucheza timu pinzani na Yanga sio uwahukumu eti wamekula mlungula acha ujinga wewe!!Mliwafunga Kagera goli mbili kwa shida kwa upuuzi wenu,usiwe na roho ya kichawi unaongea bila ushahidi, kama unaushahidi peleka TAKUKURU, kwa taarifa yako kabla ya Krismasi mtakuwa kwenye nafasi yenu ya misimu yote, mikia kweli mnamidomo, siku hizi watu wanacheza mpira kazi sio mapenzi ndio maana kuna wachezaji wanacheza hapo mbumbumbu fc ni Yanga damu hasa mliowasajili kutoka mtibwa msimu huu.
Nasikia sasa mnajipanga kuwapangishia MBAO FC pale PROTEA APPARTMENTS wakae hadi Jumatano ijayo siku ya mchezo wenu nao ili na Wao muwapige Six O'clock kama Kagera Sugar. Halafu safari hii ole wenu mthubutu kupulizia ile dawa yenu iitwayo 4-4-2 katika Chumba ambacho watakaa MBAO FC pale Shamba la Bibi ili muwanyong'onyeshe kwani safari hii tumeshawatahadharisha MBAO FC juu ya kila mbinu zenu chafu na hiyo Jumatano ' tutabanana ' hapo Uhuru Stadium hadi kieleweke ama mtoke nao sare au mfungwe. Safari hii Simba Sports Club tumeamua na tunatumia mbinu zote hadi ' Kieleweke ' msimu huu.