VPL : Kagera Sugar Vs Young Africans

VPL : Kagera Sugar Vs Young Africans

Mnafiki mkubwa wewe shabiki wa mbumbumbu fc,unajua rekodi ya Yanga vs Mtibwa ya Maxme? Yanga kachezea sana chini ya Maxime acha unafiki,halafu wachezaji wa zamani wa Yanga kucheza timu pinzani na Yanga sio uwahukumu eti wamekula mlungula acha ujinga wewe!!Mliwafunga Kagera goli mbili kwa shida kwa upuuzi wenu,usiwe na roho ya kichawi unaongea bila ushahidi, kama unaushahidi peleka TAKUKURU, kwa taarifa yako kabla ya Krismasi mtakuwa kwenye nafasi yenu ya misimu yote, mikia kweli mnamidomo, siku hizi watu wanacheza mpira kazi sio mapenzi ndio maana kuna wachezaji wanacheza hapo mbumbumbu fc ni Yanga damu hasa mliowasajili kutoka mtibwa msimu huu.

Nasikia sasa mnajipanga kuwapangishia MBAO FC pale PROTEA APPARTMENTS wakae hadi Jumatano ijayo siku ya mchezo wenu nao ili na Wao muwapige Six O'clock kama Kagera Sugar. Halafu safari hii ole wenu mthubutu kupulizia ile dawa yenu iitwayo 4-4-2 katika Chumba ambacho watakaa MBAO FC pale Shamba la Bibi ili muwanyong'onyeshe kwani safari hii tumeshawatahadharisha MBAO FC juu ya kila mbinu zenu chafu na hiyo Jumatano ' tutabanana ' hapo Uhuru Stadium hadi kieleweke ama mtoke nao sare au mfungwe. Safari hii Simba Sports Club tumeamua na tunatumia mbinu zote hadi ' Kieleweke ' msimu huu.
 
Huyo kibushuti nahisi ni yule aliyekufyatua.
Over

Naona umeshapaniki Mkuu. Pole sana! Vipi niwapeni na namba ya Golikipa wa MBAO FC na ile Beki yao moja hivi ina ' minjino ' imejitokeza utadhani ' Ngiri ' juzi mechi na Simba ilitumia dakika kama 3 hivi kusali lakini kilichokuja kumtokea baada ya Mzamiru Yasin kufunga lile Goli yale meno yake yote ' njino ' yalipotea ' kinywani '.
 
Ak
Kwa Kipa mla ' mlungula ' maarufu Hussein Shariff a.k.a Casillas ningeshangaa sana leo Yanga kama isingeshinda magoli kuanzia 3 na hata hadi 10 na nimeshangaa kuona Yanga imewafunga hawa Kagera Goli chache hizo 6 tu. Kwa kuanzia kabla sijamjadili hapa Kipa Shariff ambao Binafsi ni ' Mshkaji ' na huwa tunakumbana sana katika ' Mabonanza ' Leaders na huwa tunaonana mno Mitaa ya Magomeni katika ' Ndondo ' ambazo huwa anacheza sana na kule Kwake ' Kigamboni ' pia huwa tunakutana sana tu.

Jiulizeni ni kwanini Simba Sports Club ilimuacha na ni kwanini alipogundulika tu amechukua ' Mlungula ' katika mechi baina ya Timu moja ' Tajiri ' ila kwa sasa inasuasua kwa kufungwa magoli tena ya kutokea katikati ya Uwanja akaanza kuwekwa ' Benchi ' ndipo Kijana Manyika Peter Jr akaanza kupata nafasi. Muulizeni baada ya kubanwa katika changing room siku hiyo alisema nini na baadae ' umafia ' gani Simba iliufanya kwa hiyo Timu na hadi leo hiyo Timu inaiheshimu Simba.

Hivi unategemea nini kama tu Kocha wa Kagera Sugar ' Mnafiki ' Mecky Mexime ni Mwana Yanga tena wa kufa Mtu? Tunajua jinsi Mecky alivyokuwa akichukuwa ' mizigo ' katika mechi mbili ambazo Timu yake ya Zamani ya Mtibwa Sugar ilicheza na Yanga hadi wakawa ' maadui ' za Kocha msaidizi wake Zubeiry Katwila.

Kama mlitizima mpira wa leo Yanga ilipitia katika upande wa Kushoto ambako huyo Beki aliyepangwa leo na Kagera Sugar ni Mwana Yanga hadi yupo hata tayari kutolewa ' Kafara ' na Yanga ili ishinde. Tunajua ' mzigo ' wa leo huko Kagera alipewa Kocha Mecky na yeye akausambaza kwa Mwana Yanga mwingine Beki Godfrey Taita na mwingine akausambaza kwa huyo ' Dogo ' Beki wa Kushoto na akahakikisha kuwa leo Mchezaji kama Themi Felix hampi nafasi na hata kama angempa basi angepewa ' maagizo ' maalum.

Mchezo wa leo ilikuwa tayari imeshapangwa kuwa Yanga ishinde tena kwa idadi kubwa ya ' Magoli ' ili tu kuweza ' Kunogesha ' Mkutano Mkuu wa dharura ambao ulikuwa ufanyike Kesho ila bahati nzuri Mahamaka huwa ' haitakagi ujinga ' imeusitisha hadi tarehe 24 November 2016 baada ya kugundua ' janja janja ' ya ' Gabachori '. Nia kubwa ya ' Kuwahonga ' leo Kagera Sugar na ifungwe goli nyingi ni kuweza kuwaaminisha wana Yanga ambao wengi wao ' hawajielewi ' katika ' mitima ' yao ili walewe ushindi na Kesho Mkutanoni kila kitu kiwe ' ndiyo ' na ' hewala hewala ' Kisha Mwanamume apewe ' Nembo ' na ' Timu ' yake ale atakavyo kwa miaka 10 kisha akimaliza aidai Yanga Tsh 98 billion kutoka hizi Tsh 11 billion anazowadai sasa.

Mwisho naomba niwaulizeni hivi hawa Kagera Sugar wa leo ndiyo wale waliocheza na Simba Sports Club wiki mbili zilizopita ambapo walikuwa ' wanahaha ' uwanja mzima huku wakicheza kwa nguvu na ari huku wakiwa na hasira na hamu ya ushindi ila wote wakatulizwa na ' Fundi ' Kichuya? Nawaombeni kwa umakini wenu rudieni kupitia mechi ya leo kisha angalieni ' magoli ' ya Yanga hasa la pili na la tatu kisha mwangalieni Golikipa Hussein Shariff Casillas wa Kigamboni alivyodaka ' kimlungula mlungula ' hadi ' Mnafiki ' mwenzie Kocha wake Mecky Mexime akaona ' noma ' na kumtoa ili ' kuzuga '.

Siku TAKUKURU wakisema waingie rasmi kuchunguza mechi za VPL hasa zinazoihusu Yanga FC nadhani nchi ' itatikisika ' kwa aibu kubwa kwani tunaoujua mpira wa ' Bongo ' kindaki ndaki hatushangai na ushindi wa ' Kimagumashi ' wa Yanga katika mechi zake ila watajitahidi lakini kwa Simba Sports Club ya safari hii ' watasubiri ' sana. Na Kesho karibuni ' Shamba la Bibi ' muweze kuona ' mauaji ' ya Karne ya ' Shalubela ' iyakayokumbana nayo Watoto wa ' Wakodishwaji FC '.

Kungekuwa kuna Kombe la Dunia la ' Kuhonga ' nadhani Klabu / Timu ya Yanga FC kila mwaka ingeibuka mshindi na pengine hata kukabidhiwa Kombe moja kwa moja. Naomba niishie hapa Tafadhali na namsubiri ' Mshikaji ' wangu Kipa wa Kagera Sugar Hussein Shariff Cassilas wa Kigamboni arudi mjini ili tukatanue sana na ' Mibia ' Kijiweni ' migo migo ' Baa maarufu ya Jirani kwa Marehemu Sheikh Yahya Hussein na zitakazobaki tutaenda zetu ' kubai ' nyuchi Uwanja wa Nyumbani Brazil Pub Tegeta mbele tu kidogo ya Kibo Complex.
ishinda simba sawa akishinda yanga kahonga acheni ushabiki WA kipumbavu,wakati simba inawafunga kagera Dar ulishangilia,Leo yanga kashinda oooh kahonga,Hivi ulicheki gem ya toto na kagera?magoli aliyofungwa Leo hayana tofauti hivyo Ni mapungufu take Tu.ucogope badobado tunawaachia muendelee kushika nafasi yetu
 
Naona umeshapaniki Mkuu. Pole sana! Vipi niwapeni na namba ya Golikipa wa MBAO FC na ile Beki yao moja hivi ina ' minjino ' imejitokeza utadhani ' Ngiri ' juzi mechi na Simba ilitumia dakika kama 3 hivi kusali lakini kilichokuja kumtokea baada ya Mzamiru Yasin kufunga lile Goli yale meno yake yote ' njino ' zilipotea ' kinywani '.
Wewe ndie umepaniki maana unaleta habari za mashoga wenzio huku jf
Kwahiyo wamenunuliwa makipa wote wawili?
 
Acha
Mkuu nalijua soka la Bongo mwanzo mwisho na ' figisu figisu ' zake zote. Tena hayo niliyowaambieni hapo ni ' machache ' sana na ipo siku nitakuja ' kufunguka ' humu Watu ' wataumbuka '.
acha unafiki we kocha au wakala au Ni shoga WA wachezaji?siku ya simba sharrif ulimpelekea shi ngapi?we Ni binge la boya
 
Acha
acha unafiki we kocha au wakala au Ni shoga WA wachezaji?siku ya simba sharrif ulimpelekea shi ngapi?we Ni binge la boya

Naona leo wana Yanga wa JF mnapovuka kinoma noma baada ya kuiweka hadharani siri yenu ya ushindi leo Kaitaba.
 
Ku
Nasikia sasa mnajipanga kuwapangishia MBAO FC pale PROTEA APPARTMENTS wakae hadi Jumatano ijayo siku ya mchezo wenu nao ili na Wao muwapige Six O'clock kama Kagera Sugar. Halafu safari hii ole wenu mthubutu kupulizia ile dawa yenu iitwayo 4-4-2 katika Chumba ambacho watakaa MBAO FC pale Shamba la Bibi ili muwanyong'onyeshe kwani safari hii tumeshawatahadharisha MBAO FC juu ya kila mbinu zenu chafu na hiyo Jumatano ' tutabanana ' hapo Uhuru Stadium hadi kieleweke ama mtoke nao sare au mfungwe. Safari hii Simba Sports Club tumeamua na tunatumia mbinu zote hadi ' Kieleweke ' msimu huu.
kumbe unasikia ,inwezekana Una homoni za kike umbeya Tu na uongo
 
S
Naona leo wana Yanga wa JF mnapovuka kinoma noma baada ya kuiweka hadharani siri yenu ya ushindi leo Kaitaba.
siri au unafiki Wako,kama uliyajua hayo kwa nn hukuripoti mapema ?baada ya mechi ndo unakuja na story za kishoga hapa jf,nahisi we Ni bwabwa
 
Ku
kumbe unasikia ,inwezekana Una homoni za kike umbeya Tu na uongo

Leo ' mtatapika ' yote ila ukweli utabaki pale pale kuwa Yanga leo mmeihonga Kagera Sugar kupitia kwa Kocha wao Mecky ambaye alimpa ' mlungula ' Kipa na yule Beki wao wa Kushoto ambaye 99% ya magoli yote ya WAJINGA TUNAKODISHWA FC yalikotokea. Sasa fanyeni huo 'Uhuni ' wenu Jumatano kwa MBAO FC muone aibu itakayowakumba. Nasikia sasa mnahaha kuwahamisha MBAO FC kutoka walipo kwenda kuishi pale PROTEA COURTYARD hadi Jumatano kisha baada ya mechi yao na nyie mnawapandisha katika Bombardier Q 400 wakasimulie vizuri huko kwao Mwanza.
 
We jamaa utakua choko,c bure
 
Ho

Kasi ya wanachi Inakusumbua Tu ondoa hufu mzee ligi bado SI mlikuwa mnajisifu tuwape kombe kabisa,mtaishia hivohivo na j5mbao anakufa kawaida tu
 
Aachana nae mkuu hofu ya timu la wananchi linawavuruga hawa mbumbumbu fc
JF ilikuwa zamani. Watu tulikuwa tunachambua mpira jinsi ulivyochezwa, siku hizi watu wanakuja hapa jukwaani na matokeo yao wakati matokeo yako uwanjani.

Ikitokea matokeo ya uwanjani ni tofauti na matokeo yao ndipo wanaanza kutoa sababu za Yanga kahonga. Tumepoteza mechi dhidi ya Stand United, timu ambayo haina pesa, wachezaji hawajalipwa, kocha hajalipwa; kama tungekuwa tunahonga, hiyo mechi tusingepoteza. Kocha wa Stand United yule kibabu aliyeondoka amemtuhumu msaidizi wake kujihusisha na vitendo vya rushwa dhidi ya timu kadhaa ambapo Young Africans SC si moja ya timu hizo.

Mikia fc shida yao ni kombe, watuache sisi tucheze mpira, kombe watachukua maana wana usongo mithili ya mwanaume ambaye hajakutana na mwanamke kimwili kwa kipindi cha miaka minne hivyo wana ukame sana. Hata tukiwazidi pointi mwaka huu tutawapa kombe ili wakate kiu!
 
Back
Top Bottom