VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United

mkolaj

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2014
Posts
3,023
Reaction score
1,089
Katika muendelezo wa Ligi kuu Tanzania Bara leo tar. 21/04/2015 Yanga Afrika ya jijini Dar es salam itakuwa uwanja wa nyumbani (uwanja wa taifa) kuikaribisha timu ya Stand United (Wapiga debe) kutoka mkoani Shinyanga.

Mchezo huu utakuwa wa vuta nikuvute kulingana na hali ya timu zote mbili, kwani yanga wao watakuwa wakitafuta point 3 ili kuzidi kujiweka mazingira mazuri ya kuwa bingwa mpya wa msimu huu wa ligi wa 2014/2015, huku Stand united wakitafuta point 3 muhimu ili kujiweka mahali salama katika msimamo wa ligi.

Mchezo utapigwa kuanzia saa 16:00 jioni kwa saa za Afrika mashariki.

Matukio yote yatakayojiri uwanja wa taifa leo katika mpambano huo wa yanga vs stand united yateletwa hapa JF-SPORTS na mkolaj, Makoye Matale, yahoo, NGANU, Bantu lady, Amavubi, Sibonike, wakimataifa, Katavi, cnjona, kwich kwich na wadau wengine wa jf-sports.

Kila la kheir Yanga Afrika bingwa mpya wa msimu wa 2014/2015.

____________
____________

FULL TIME----
Yanga 3-2 Stand United.
 
Hakika Daima mbele nyuma mikia na ice cream..



Yanga piga ao wapiga deae 3-0
 
Stand United nakupenda sana, kwa leo utanisamehe inabidi ufungwe tu ili Yanga ichukue ubingwa, overall wewe Stand United (Chama La Wana, CLW) huwezi kuchukua ubingwa wala hushuki daraja hivyo huna cha kupoteza.

Naitakia Yanga ushindi wowote katika mechi ya leo.
 
Kikosi cha Yanga Afrika kinachoanza leo dhidi ya Stand United;
1.Deogratius Munishi "Dida"
2.Juma Abdul Mnyamani
3.Oscar Fanuel Joshua
4.Rajabu Zahir
5.Mbuyu Junior Twite
6.Juma Said Makapu
7.Simon Msuva
8.Haruna Niyonzima "Fabregas"
9.Amiss Jocylin Tambwe
10.Mrisha Ngassa "Anko"
11.Andrey Coutinho

SUB----
Ally Mustapha "Barthez"
Pato Ngonyani
Nizar Halfan
Hussein Javu
Kpah Sherman
Danny Mrwanda.

Kocha mkuu-
Hans van der Pluijm

Kocha msaidizi-
Charles Boniface Mkwasa

Daktari wa timu-
Juma Sufiani

Meneja wa timu-
Afidh Saleh

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Yanga afrika.

YANGA DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
 
Hakika Daima mbele nyuma mikia na ice cream..



Yanga piga ao wapiga deae 3-0
Hawa wapiga debe wapigwe nyingi tu maana wana mdomo sana wanadhan kila timu ni simba.
Ikiwezekana wapigwe 5-0
 
Ni leo 21/04 au ni kesho 22/04/15 wadau...Yanga mbelee.....
 
afu mkuu uwe unatoa updates kwenye post hii ya kwanza ilitujue magoli sawa mkuu..
 
Best luck stend japokuwa mshanunuliwa..

Wee Mzee Mkuu wa Azam, tulia; tunatesa kwa zamu. Mwaka jana ilikuwa zamu yenu, mwaka huu zamu yetu, jaribuni tena mwaka ujao.

Thank you for showing interest to defend your championship!
 

Attachments

  • Thank you Azam.jpg
    4.7 KB · Views: 333
Stand wana njaa Hao ! Wanakamilisha ratiba!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…