mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,089
Katika muendelezo wa Ligi kuu Tanzania Bara leo tar. 21/04/2015 Yanga Afrika ya jijini Dar es salam itakuwa uwanja wa nyumbani (uwanja wa taifa) kuikaribisha timu ya Stand United (Wapiga debe) kutoka mkoani Shinyanga.
Mchezo huu utakuwa wa vuta nikuvute kulingana na hali ya timu zote mbili, kwani yanga wao watakuwa wakitafuta point 3 ili kuzidi kujiweka mazingira mazuri ya kuwa bingwa mpya wa msimu huu wa ligi wa 2014/2015, huku Stand united wakitafuta point 3 muhimu ili kujiweka mahali salama katika msimamo wa ligi.
Mchezo utapigwa kuanzia saa 16:00 jioni kwa saa za Afrika mashariki.
Matukio yote yatakayojiri uwanja wa taifa leo katika mpambano huo wa yanga vs stand united yateletwa hapa JF-SPORTS na mkolaj, Makoye Matale, yahoo, NGANU, Bantu lady, Amavubi, Sibonike, wakimataifa, Katavi, cnjona, kwich kwich na wadau wengine wa jf-sports.
Kila la kheir Yanga Afrika bingwa mpya wa msimu wa 2014/2015.
____________
____________
FULL TIME----
Yanga 3-2 Stand United.