Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Nipo hapahapa JF my dear, nafuatilia kimyakimya vijana wanavyofanya yao na kuzidisha furaha huku mitaani kwetu sisi wanazi wa Jangwani.
Ahahaaaaaa yamesawazisha
Hahahaaa, mkuu Ta Muganyizi kapoli ni nini?Wanakula Kapoli
Kwa nini yanga isiondolewe kwenye haya mashindano ili iendelee na mambo mengine!!?
Nipo hapahapa JF my dear, nafuatilia kimyakimya vijana wanavyofanya yao na kuzidisha furaha huku mitaani kwetu sisi wanazi wa Jangwani.
Hahahaaa, mkuu Ta Muganyizi kapoli ni nini?
Hahahaaa, mkuu Ta Muganyizi kapoli ni nini?
Yanga 2-2 Stand United.
Dida pumbavuu zake sana. Hawa stand washamjulia heri ya barthez huyu mtoto kawa makalio sana. Anataka kutunyima raha sasa pambaaaf.
si vibaya sana ngoja hawa vijana wabaki kwenye ligi mwakani tushuhudie derby ya shy
Uwiiiii! Ngoja nitie ubani hapa.Lazima tutoke na 3 points katika hili game.Ila mamito Stand nao wanakaza, wameshachomoa hawa. Tuiombee tu angalau tuongeze moja
Muulize Bantu Lady......hahahahaaaaaaa