VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United

VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United

Bado point moja toka Azam, moja toka Coast afu tunakuja kumfunga nyingi Ruvu Shooting Kambarage
 
Kwa nini yanga isiondolewe kwenye haya mashindano ili iendelee na mambo mengine!!?

Mambo gani hayo Mkuu? Mana katika kombe la wanyonge (shirikisho) safari yao inaishia Tunisia.
 
Nipo hapahapa JF my dear, nafuatilia kimyakimya vijana wanavyofanya yao na kuzidisha furaha huku mitaani kwetu sisi wanazi wa Jangwani.

Ila mamito Stand nao wanakaza, wameshachomoa hawa. Tuiombee tu angalau tuongeze moja
 
Dida pumbavuu zake sana. Hawa stand washamjulia heri ya barthez huyu mtoto kawa makalio sana. Anataka kutunyima raha sasa pambaaaf.
 
Dida pumbavuu zake sana. Hawa stand washamjulia heri ya barthez huyu mtoto kawa makalio sana. Anataka kutunyima raha sasa pambaaaf.

Dida huwa na makosa yake but tusimtoe kama mbuzi wa kafara. Ila angalau wakati mwingine akae Barthez
 
Nilisema watachomoa, sasa nasema wanashinda.
 
Back
Top Bottom