VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United

Afadhali sasa naweza kupumua vizuri. Bantu lady umeona ubani wangu ulivyofanya kazi?
Hahahaaa
 
Last edited by a moderator:
Nipo dada, kuna lugha mnaongea hapo na kakako katavi nawasikiliza bila kuelewa chochote.

Ha ha hahahaa sasa wewe mtani kaka ndiyo ungekuwa unaibia ibia kidogo, kuelewa. kifipa hiko... Nasaidiwa saidiwa nasikia ila siwezi kuongea hah hahahahaa
 
Hussein Javu ni bonge la mchezaji...Sema hapati nafasi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…