VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United

Leo tumeshinda lakini unaonekana ni ushindi mgumu kidogo kwetu, anyway muhimu ushindi, Bravo YANGA daima mbele nyuma mwiko!!1
 
Hongereni wana Jangwani wooteee, ushindi ulikuwa mgumu sana. Ila vitu vizuri siku zote huwa vigumu kupatikana.
Tutegemee ugumu zaidi kwenye hizo points 6, zilizobaki tutangaze ubingwa.

Leo kusheherekea tu uahindi, si vibaya mikia mkijiunga hapa hahahahahaaaaa sisi waleeeeeee
 

Bantu lady ahsante sana dada. Maombi tuyaelekeze vijana wampige ruvu shooting then polisi morogoro ili twende kucheza na azam tukiwa tayari mabingwa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…