Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uliadimika mkuu,
vipi mihangaiko nini?
karibu tusherehekee ushindi wa leo.
Hahahaaa,hii kali aisee!Simba wametoa tamko eti " Kama Mbeya City wanaamua kukaza basi wakaze kwa wote sio Simba tu" Msemaji wa SIMBA
mkuu NGANU ni mihangaiko tu, lakin tupo pamoja sana..,.pamoja DAIMA MBELE NYUMA MWIKO....mpaka ubingwa
Simba wametoa tamko eti " Kama Mbeya City wanaamua kukaza basi wakaze kwa wote sio Simba tu" Msemaji wa SIMBA
Hahahaaa,namuona sana nimekaa kimya tu.
Alisema wataongeza lakini wameongezwa naona anatapatapa tu.
ha ha ha haaah,,,,,,heshima yako mkuu.
Hahahaaa
Hahahaaa,hii kali aisee!
Simba wametoa tamko eti " Kama Mbeya City wanaamua kukaza basi wakaze kwa wote sio Simba tu" Msemaji wa SIMBA
Hahahaaa
Hongereni wana Jangwani wooteee, ushindi ulikuwa mgumu sana. Ila vitu vizuri siku zote huwa vigumi kupatikana.
Tutegemee ugumu zaidi kwenye hizo points 6, zilizobaki tutangaze ubingwa.
Leo kusheherekea tu uahindi, si vibaya mikia mkijiunga hapa hahahahahaaaaa sisi waleeeeeee
mbona kimya humu, mpira umeishaje?
Salama mkuu....Tupo tu
Kesho Mgambo wa Kabuku wanaleta balaa jijini...