mbona kimya humu, mpira umeishaje?
Hahahaaa,naona umeweka avatar ya muAfrica mzalendo hapo.Mikia wameishiwa sana...wanachekesha watu walionuna
#teamccm wamebebwa..
mbona kimya humu, mpira umeishaje?
Kabisa kabisa.Ushindi ukipatikana lazima furaha kama hizi ziwepo jukwaani.
vip hawajatoa tamko kuhusu timu ya stand utd kuwakazia??
Nina uhakika na points 9 hapo.MECHI ZILIZOBAKI KWA YANGA KUKAMILISHA MZUNGUKO WA PILI:
1. Ruvu shooting
2. Polisi morogoro
3. Ndanda united
4. Azam FC
Bado pointi 6 tu.
Ila sina uhakika saaaaasa!hahahahaha...piga kimya...ndio huyo huyo
Ila sina uhakika saaaaasa!
Niambie kitu ambacho tumewahi kuongea utakua umenirahisishia.Niambie nikurasisishie vipi?
MECHI ZILIZOBAKI KWA YANGA KUKAMILISHA MZUNGUKO WA PILI:
1. Ruvu shooting
2. Polisi morogoro
3. Ndanda united
4. Azam FC
Niambie kitu ambacho tumewahi kuongea utakua umenirahisishia.
tupotee kwenda wapi? Mimi ni wa hapahapa.
Jamaniii!Kweli nilikuhisi tu ila nilikua sina uhakika.Ukiniona tu unaikumbuka Michezo halafu unafurahi
Jamaniii!Kweli nilikuhisi tu ila nilikua sina uhakika.
Naam,sasa umenirahisishia. Pole sana......