VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United

VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United

MECHI ZILIZOBAKI KWA YANGA KUKAMILISHA MZUNGUKO WA PILI:

1. Ruvu shooting
2. Polisi morogoro
3. Ndanda united
4. Azam FC
 
kwa mchezo ujao wa marudiano na Sahel Yanga.Poleni maana itakukuwa siyo tu kutolewa ila kudhadhalilishwa.Leo Yanga imeonyesha wazi kuwa ni timu ya chama.Huwezi kubebwa kwenye timu ndogo hivi ya wapiga debe,Kama kweli wanania ya kusonga mbele,wafanye mabadiliko makubwa.
 
Vipi mkuu ulikula ban ndo umeachiwa nini sijakuona humu ndani toka game inaanza mpaka inaishaa.
Hahahaaa,umenichekesha wewe ujue? MUSSOLIN kapigwa ban na club yake ya mikia ndio maana haonekani humu.
 
Last edited by a moderator:
MECHI ZILIZOBAKI KWA YANGA KUKAMILISHA MZUNGUKO WA PILI:

1. Ruvu shooting
2. Polisi morogoro
3. Ndanda united
4. Azam FC

tukishashinda hizo 2 za mwanzo, zinazobaki tunachukua hela ya usajili
 
Back
Top Bottom