nimekuona kaka ila nduguyo Masuke kishakata tamaa, hapana chezeya Yanga. Mikia tumewafunga midomo kabisaaaa
Sasa wewe unategemea kuwe na timu imara kama tp mazembe na zamalek kwa kuendelea kuwatumia hawa wachezaji wa ndani kama akina singano, ndemla na wengine???tusahau kuwa na timu kama tp mazembe au zamelik bongo.!!
teh teh teh zamani mlikua mkilalamika timu za ligi hazina ushindani, leo zimepatikana timu bora mnazihujumu uwanjani. Yanga atakuwa bingwa lakini kwa mwendo huu tusitegemee kufanya vizuri kwenye michuano ya kimataifa.
teh teh teh mdau hatuwezi kubashiri timu 5 bora wakati ligi bado inaendelea. Ligi ikiisha ndio tutajua ni timu zipi bora, Stand Utd bado ana nafasi ya kuingia tano bora kwa hizo game zilizobaki. Yanga tayari ni bingwa lakini kwa mchezo wa jana ulikuwa ni suluhu sema tu referees wetu huwa waoga wanapochezesha michezo ya Yanga au Simba.
Ndio nilijua tu maana uliambatanisha na le super Tamkooz lake kabisa.