Unawasaliti ndugu zako....!!!Stand United nakupenda sana, kwa leo utanisamehe inabidi ufungwe tu ili Yanga ichukue ubingwa, overall wewe Stand United (Chama La Wana, CLW) huwezi kuchukua ubingwa wala hushuki daraja hivyo huna cha kupoteza.
Naitakia Yanga ushindi wowote katika mechi ya leo.
teh teh teh mdau hivi link ya azam online tv inaitwaje.??
Unawasaliti ndugu zako....!!!
mkuu si tunahitaji point 9 tu tutangaze rasmi ubingwa au?
mambo mazuri, ila leo sijui tutakula ngapi..
Ha ha ha haaah......hata kuwafunga goli moja itakuwa ishu.Mkuu mwaka huu utaumia sana, kwa yanga hii ya kimataifa ili stand apate walau sare tu anahitaji kufanya kaz ya ziada.
Stand atafungwa leo ingawaje si kama za coast union.
Stand atakula 5-0.
Mkuu mwaka huu utaumia sana, kwa yanga hii ya kimataifa ili stand apate walau sare tu anahitaji kufanya kaz ya ziada.
Stand atafungwa leo ingawaje si kama za coast union.
Stand atakula 5-0.
Ha ha ha haaah......hata kuwafunga goli moja itakuwa ishu.
Mkuu ni bora tu leo ungekuwa upande wetu ili tumfinye vizur huyu jamaa ambae alikushika sharubu pale kambarage-shinyanga.Ha ha ha haaah......hata kuwafunga goli moja itakuwa ishu.
Ile nafasi ya pili mbona ni yetu mkuuMkuu Katavi nakuhurumia sana kwani kwa hizi mechi 3 zilizo mbele yetu utaendelea kusikitika, kusononeka na kuomboleza. Tunataka pointi 9 tu ili tukikutana na Azam tumwachie ili Simba asinyakue nafasi ya mshindi wa 2 kama yeye alivyofanya mwaka jana.
Ha ha ha haah,,,,,,,huyu sina shida naye.Mkuu ni bora tu leo ungekuwa upande wetu ili tumfinye vizur huyu jamaa ambae alikushika sharubu pale kambarage-shinyanga.
Si unakumbuka alikuchezea huyu mpaka kunani tena wewe mwenyewe ukilia na huku ukisema ni "tamu lakin inauma"?!
Ha ha ha haah,,,,,,,huyu sina shida naye.
Ile nafasi ya pili mbona ni yetu mkuu
Huamini??Ndoto za Alinacha hizo!!!