VPL leo tar. 21/04/2015: Yanga vs Stand United

Stand United nakupenda sana, kwa leo utanisamehe inabidi ufungwe tu ili Yanga ichukue ubingwa, overall wewe Stand United (Chama La Wana, CLW) huwezi kuchukua ubingwa wala hushuki daraja hivyo huna cha kupoteza.

Naitakia Yanga ushindi wowote katika mechi ya leo.
Unawasaliti ndugu zako....!!!
 
Nawatakia ushindi stand united.
Mkuu mwaka huu utaumia sana, kwa yanga hii ya kimataifa ili stand apate walau sare tu anahitaji kufanya kaz ya ziada.
Stand atafungwa leo ingawaje si kama za coast union.
Stand atakula 5-0.
 
Ha ha ha haaah......hata kuwafunga goli moja itakuwa ishu.
 
Iwe kama ulivyotabiri kiongozi.
 
Ha ha ha haaah......hata kuwafunga goli moja itakuwa ishu.

Mkuu Katavi nakuhurumia sana kwani kwa hizi mechi 3 zilizo mbele yetu utaendelea kusikitika, kusononeka na kuomboleza. Tunataka pointi 9 tu ili tukikutana na Azam tumwachie ili Simba asinyakue nafasi ya mshindi wa 2 kama yeye alivyofanya mwaka jana.
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaah......hata kuwafunga goli moja itakuwa ishu.
Mkuu ni bora tu leo ungekuwa upande wetu ili tumfinye vizur huyu jamaa ambae alikushika sharubu pale kambarage-shinyanga.
Si unakumbuka alikuchezea huyu mpaka kunani tena wewe mwenyewe ukilia na huku ukisema ni "tamu lakin inauma"?!
 
Mkuu Katavi nakuhurumia sana kwani kwa hizi mechi 3 zilizo mbele yetu utaendelea kusikitika, kusononeka na kuomboleza. Tunataka pointi 9 tu ili tukikutana na Azam tumwachie ili Simba asinyakue nafasi ya mshindi wa 2 kama yeye alivyofanya mwaka jana.
Ile nafasi ya pili mbona ni yetu mkuu
 
Mkuu ni bora tu leo ungekuwa upande wetu ili tumfinye vizur huyu jamaa ambae alikushika sharubu pale kambarage-shinyanga.
Si unakumbuka alikuchezea huyu mpaka kunani tena wewe mwenyewe ukilia na huku ukisema ni "tamu lakin inauma"?!
Ha ha ha haah,,,,,,,huyu sina shida naye.
 
Nani wapiga debe!! Wewe maamuma!! Stand Utd ni Chama la Wana!!
Ingawa mechi ishachezwa na matokeo tunajua!!
 
Attachments

  • 1429619476658.jpg
    1429619476658.jpg
    29.2 KB · Views: 167
  • 1429619499976.jpg
    1429619499976.jpg
    24.6 KB · Views: 159
  • 1429619525031.jpg
    1429619525031.jpg
    19.6 KB · Views: 151
Wazee wa kuishia raundi ya kwanza michuano ya CAF.

Wazee wa kupenda mechi za ligi ya Bara kasoro ile dhidi ya Simba

Wazee wa kuzimia
 
Back
Top Bottom