Kawaida ya yanga mida ka hii wana holi 2
Wameshapigwa holi 1
Ndio akili za wabongo zilipoishia, wanadhani mfadhili atakuwa anatoa hela siku zote tu. Mpira ni uwekezaji, na uwekezaji unahitaji fedha nyingi. Bila vilabu kutumia potential zilizopo (washabiki) katika kuingiza mapato, tutaendelea kutegemea wafadhili tena wasiotabirika. Mwaka jana Yanga walilazimika kumpigia magoti tajiri mmoja aendelee kuwa kiongozi ili awe karibu na timu.... wazee wa kucheza ndondo ili kudunduliza pesa za kulipa posho wachezaji
unasema ati..Asanteni Stand United.. Waongezeni kingine.
Wanayanga msihofu......tuna magoli yanakuja
mambo gani stendi aaaaaaaaagrhGoooooooa!!
Amiss tambwe.
Yanga 1-1 stand
mambo gani stendi aaaaaaaaagrh
Baada ya ubingwa Etoile ileeeeeeee!... Ubingwa uleeeeeeeeee