Addict
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 702
- 485
Bantu lady nifah Makoye Matale kazeni buti watani....mimi niko ban lakini tuko pamojaWe mlumendo izina lilo ilipe sana. Lyamatulu mtu mkalamba ukutukantu.
cc kaka Katavi
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bantu lady nifah Makoye Matale kazeni buti watani....mimi niko ban lakini tuko pamojaWe mlumendo izina lilo ilipe sana. Lyamatulu mtu mkalamba ukutukantu.
cc kaka Katavi
Sentensi tata hii hebu fafanua
We mlumendo izina lilo ilipe sana. Lyamatulu mtu mkalamba ukutukantu.
cc kaka Katavi
Ndio akili za wabongo zilipoishia, wanadhani mfadhili atakuwa anatoa hela siku zote tu. Mpira ni uwekezaji, na uwekezaji unahitaji fedha nyingi. Bila vilabu kutumia potential zilizopo (washabiki) katika kuingiza mapato, tutaendelea kutegemea wafadhili tena wasiotabirika. Mwaka jana Yanga walilazimika kumpigia magoti tajiri mmoja aendelee kuwa kiongozi ili awe karibu na timu.
Wenzetu akina TP Mazembe na akina Etoile walifanya hivi; walikusanya vyanzo vya mapato (wafadhili, viingilio, wadhamini, mikopo) wakawekeza katika kusajili na kuandaa wachezaji bora kabisa kutoka pande mbalimbali za Afrika. Timu zao zikaanza kuingia nane bora, wakati mwingine nne bora, halafu mabingwa. Ukiingia nane bora kwenda juu unapata ruzuku ya mamilioni ya CAF. Ukiingia mara nne mfululizo unakuwa na hela za kutosha kusajili kwa kiwango kile kile kwa kutumia hela za CAF na wadhamini bila ya kutegemea vyanzo vya wafadhili na viingilio. Kuanzia hapo klabu inakuwa inajiendesha kwa faida na si rahisi kuporomoka tena kwani inakuwa na hela za kusajili akina Samata na akina Frank Kom.
Lakini kwa Yanga, mawazo yote ya hela yanaangukia kwa mfadhili, na bahati mbaya mara zote timu inatolewa raundi ya kwanza!
Uko ban kwa ID ipi?
Ha ha ha haaahhh,,,,,,mkuu pole nishakufahamu
atange amunene modi, a dada ne wiyo,,,,wa kumwitu kabisa.Fwandi nawe wa kung'anda? Izina lilo utachimunena mod!
Hahahaaah,,,,,,,,dada Bantu lady hiyo ID achana nayo, bahati nzuri tunaijua watatu tu, mimi, wewe na yeye.
Tulia hapohapo,magoli mengine yanakuja.
Mkuu taratibu mkuu...uliza kimya kimya Mod watanikong'oli na hii pia.
Kwani kila kitu lazima ufanye comparison ya Simba na Yanga?