VPL, leo tar 24/04/2015 YANGA AFRICA VS RUVU SHOOTING_Live updates...............

Kwa kasi hii YANGA haina mpinzani Tanzania na ukanda wote wa Afrika Mashariki.
 
Nimeongea Na mtangazaji mmoja Sa michezo wa RFA asubuhi akaniambia Kama Yanga wataifunga Ruvu Leo watarudia Yale maneno ya Masau Bwire kabla ya kupandisha habari za mechi ya Leo Na hata Kama Ruvu wataifunga yanga poa watafanya hivyo.

Hiyo clip waiandae kabisa nami nitakuwa bega kwa bega na RFA kusikiliza kipindi hicho. Gari bovu naona limekosa kigingi cha maana! 'Wanariadha' wanawaendesha vilivyo Ruvu Shooting.
 
Kwa kasi hii YANGA haina mpinzani Tanzania na ukanda wote wa Afrika Mashariki.

Waarabu tu ndo wanatuaribia pozi mkuu, lakini hivi vitimu sijui vya wapi, ni kupiga goli tu

cc nifah
 
Last edited by a moderator:
Waarabu tu ndo wanatuaribia pozi mkuu, lakini hivi vitimu sijui vya wapi, ni kupiga goli tu

cc nifah

Acha kabisa!ikibaki wiki moja (sijui ndio hii?).Itabidi nifunge na kusoma dua kali kali tu maana na mimi kuna watu wameniahidi vitu vinono humu.
Kushinda kwa Yanga kuna maana kubwa sana kwangu.
 
Last edited by a moderator:
Jingine tena sijui leo mangapi, ngoja nisogeze visoda.
 
hence confirmed nikuanzia bao tatu sijui mwisho ni ngapi..
 
Last edited by a moderator:
Waarabu tu ndo wanatuaribia pozi mkuu, lakini hivi vitimu sijui vya wapi, ni kupiga goli tu

cc nifah

Naamini tutaenda kukutana na waarabu tukiwa tayari kwa lolote.
Ubingwa utakuwa tayari jangwani hata kama game baada ya waarabu tutapoteza.
Naamini wachezaji wetu watakuwa tayari kwa lolote kuhakikisha tu tunaingia hatua ya 8 bora.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…