ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,767
- 6,575
subiri baada ya mechi leo jioni kwenye michezo ndio utamjua ni nani masau..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Raha tupu mieeeeeeeee
Rahatupu.com
Leteni matokeo watani ndio naingia.
subiri baada ya mechi leo jioni kwenye michezo ndio utamjua ni nani masau..
Kipindi cha pili kinaanza,
Yanga 3-0 ruvu shooting
Leteni matokeo watani ndio naingia.
Akipigiwa simu na akiwa kapoteza mechi, atajifanya kuna kelele mashabiki wamemzonga. Ila maneno yake yanafurahisha...
#teamyanga #
Masao Bwire akiongea na RFA amedai kuwa 'Yanga ni gari bovu lililokata breki halafu limekuwa likizuiwa na vigingi dhaifu', akaongeza kuwa 'Ruvu Shooting ni kigingi imara kitakachozuia hilo gari bovu'. Amejinasibu kuwa endapo wataifunga Yanga watajipatia heshima kubwa na kutambuliwa na Watanzania kwani Yanga ndiyo inaongoza ligi kwa sasa.
Swali linabaki kuwa: je, ni kweli Ruvu Shooting ni kigingi imara kwa Yanga?
Hivi Bwire na Julio nani mkali wa kuchonga