VPL, leo tar 24/04/2015 YANGA AFRICA VS RUVU SHOOTING_Live updates...............

VPL, leo tar 24/04/2015 YANGA AFRICA VS RUVU SHOOTING_Live updates...............

Kipindi cha pili kinaanza,
Yanga 3-0 ruvu shooting
 

Attachments

  • wp_ss_20150424_0001.png
    wp_ss_20150424_0001.png
    86.1 KB · Views: 313
Yanga wanatisha ....wanateleza kama walivyokuwa wanateleza siku ya ETOILE DU SAHEL!
 
Masao Bwire akiongea na RFA amedai kuwa 'Yanga ni gari bovu lililokata breki halafu limekuwa likizuiwa na vigingi dhaifu', akaongeza kuwa 'Ruvu Shooting ni kigingi imara kitakachozuia hilo gari bovu'. Amejinasibu kuwa endapo wataifunga Yanga watajipatia heshima kubwa na kutambuliwa na Watanzania kwani Yanga ndiyo inaongoza ligi kwa sasa.

Swali linabaki kuwa: je, ni kweli Ruvu Shooting ni kigingi imara kwa Yanga?

duuuh,,,,,,huyu jamaa anafaa kuwa komedian.
 
Niko hapa nakunywa kahawa kwa mrija na kashata za korosho...hizi naona kama mkono zinafika!
 
Back
Top Bottom