VPL, leo tar 24/04/2015 YANGA AFRICA VS RUVU SHOOTING_Live updates...............

VPL, leo tar 24/04/2015 YANGA AFRICA VS RUVU SHOOTING_Live updates...............

Acha kabisa!ikibaki wiki moja (sijui ndio hii?).Itabidi nifunge na kusoma dua kali kali tu maana na mimi kuna watu wameniahidi vitu vinono humu.
Kushinda kwa Yanga kuna maana kubwa sana kwangu.

kweli ahadi zako nyingine niliziona kwenye uzi fulani hivi humu ndani

Ila yanga wakipata confidence kisaikolojia wanaweza kuwafunga, sema ndo hivyo wanakuwa hawajiamini mwanzoni jamaa wanatufunga, wakishapata confidence tayari too late jamaa wanabaki kulinda lango lao na kufanya mashambulizi ya kushtukiza.

Wale jamaa hawana kiwango cha kutisha kwa yanga, na sasa na huko ugenini ndo sijui kabisa wasiwasi wa wachezaji wetu utakuwaje
 
Kwa kuwa msuva ni bongo na mpa pongezi sasa akomae hapo hapo sio na yeye alewe sifa na kucheza pono kama uncle ngasa..
 
Khaa yaani nifah sisi tunaendeleza story za waarabu kumbe eti msuva katupia la tatu, ni kweli aiseee???
 
Last edited by a moderator:
Tumedhamiria kuchukua ubingwa kabla ya kukutana na Azam ili tuamue tunafanya nini, tunachowata Azam wafanye ni kuhakikisha hawafungwi na Mnyama, nafasi ya pili ni halali yao.

hiyo nafasi ya pili ni yetu ila mpaka kesho tushinde kwani tukidroo presha inakuwa kubwa..
ubingwa yanga ulikuwepo toka tulipo achwa point nne.. Nikajua hatyna chetu hapa..
 
hiyo nafasi ya pili ni yetu ila mpaka kesho tushinde kwani tukidroo presha inakuwa kubwa..
ubingwa yanga ulikuwepo toka tulipo achwa point nne.. Nikajua hatyna chetu hapa..

Asante sana kwa kukiri ukweli!
 
Yaani Masau Bwire alivyochonga jana ni bora wapigwe nyingi.......
 
Jamani angalieni picha yangu vizuri nilivyoanza kusherekea ubingwa
 

Attachments

  • 1429884571571.jpg
    1429884571571.jpg
    81.2 KB · Views: 246
Back
Top Bottom