Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,736
Mkuu vipi ile ahadi yetu hukuitimiza nakukumbushia tuu.
USHAHIDI #1
USHAHIDI #2
https://www.jamiiforums.com/sports/834820-yaliojiri-vpl-12-04-2015-yanga-vs-mbeya-city-6.html
msuva nae anasifa yanga 3 shooting 0 half tm
msuva nae anasifa yanga 3 shooting 0 half tm
najuta kwanini azam tulimuuza huyu dogo khaaaa...msuva nae anasifa yanga 3 shooting 0 half tm
hence confirmed nikuanzia bao tatu sijui mwisho ni ngapi..
Acha kabisa!ikibaki wiki moja (sijui ndio hii?).Itabidi nifunge na kusoma dua kali kali tu maana na mimi kuna watu wameniahidi vitu vinono humu.
Kushinda kwa Yanga kuna maana kubwa sana kwangu.
Tumedhamiria kuchukua ubingwa kabla ya kukutana na Azam ili tuamue tunafanya nini, tunachowata Azam wafanye ni kuhakikisha hawafungwi na Mnyama, nafasi ya pili ni halali yao.
hiyo nafasi ya pili ni yetu ila mpaka kesho tushinde kwani tukidroo presha inakuwa kubwa..
ubingwa yanga ulikuwepo toka tulipo achwa point nne.. Nikajua hatyna chetu hapa..
Yaani Masau Bwire alivyochonga jana ni bora wapigwe nyingi.......
natamani msuva afike goli ishirini maana akikaza dogo atafika mbali sana product of bakharesa..Asante sana kwa kukiri ukweli!
Tena katufananisha na gari lililokosa breki, sasa leo tunamtandika wiki