kitwala
JF-Expert Member
- Aug 31, 2012
- 1,476
- 1,066
mkuu ukiona yanga,simba au azam ipo juu jua kabisa hadi ligi inaisha ni mihela tu hakuna kujichosha..
Yanga kumbe wana pesa nyingi sana, maana wamebaki wao tu kwenye mashindano ya kimataifa kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki.