Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Rudini mtupe matokeo.
Simba wakiamua huwa hafanyi ajizi
Sasa ni She-polopolo 2-3 Twiga Stars.
Rudini mtupe matokeo.
Sasa ni She-polopolo 2-3 Twiga Stars.
Minor and polite correction:
Simba akiweza huwa hafanyi ajizi.
Uamuzi wa kushinda kila siku wanao, tatizo ni uwezo wa kuzifunga timu pinzani.
Asante kwa updates
Kwahiyo Mikia mtakuwa na michezo 30 point 32, msimu huu mtaishia kuonja kachumbari tuu harufu na ladha ya pilau mtuachie wenyewe
I cannot agree with you on this! Tatizo Simba wako too choosy, wanachagua timu za kufunga ...
Msisahau tayari tuna mataji mawili mwaka huu
Ninavyojua mimi mechi nyingi zaidi kuchezwa na timu ya VPL msimu huu ni 26. Hiyo michezo 30 unayosema maana yake ni kwamba Simba imeshamaliza mechi 26 za ligi na kupendelewa kurudia mechi nyingine nne zaidiKwahiyo Mikia mtakuwa na michezo 30 point 32, msimu huu mtaishia kuonja kachumbari tuu harufu na ladha ya pilau mtuachie wenyewe
Masahihisho ni 20 games. SORRY ALLNinavyojua mimi mechi nyingi zaidi kuchezwa na timu ya VPL msimu huu ni 26. Hiyo michezo 30 unayosema maana yake ni kwamba Simba imeshamaliza mechi 26 za ligi na kupendelewa kurudia mechi nyingine nne zaidi