VPL: Simba SC vs Ruvu shooting na Coastal Union vs Azam FC

VPL: Simba SC vs Ruvu shooting na Coastal Union vs Azam FC

Minor and polite correction:
Simba akiweza huwa hafanyi ajizi.

Uamuzi wa kushinda kila siku wanao, tatizo ni uwezo wa kuzifunga timu pinzani.

I cannot agree with you on this! Tatizo Simba wako too choosy, wanachagua timu za kufunga ...
 
Simba tatu,full time...simba wamedhamilia haswa kuipata nafasi ya tatu,hongereni
 
All Africa Games Qualifier: (Women).
89'
Sophia Mwasikili makes it four for Tanzania.
Zambia 2-4 Tanzania.
 
Msisahau tayari tuna mataji mawili mwaka huu

Mapinduzi na mtani jembe😄😄😄😄 yanatambulika na chama kipi cha michezo duniani😄😄😄😄 KWELI RAGE HAKUKOSEA KUWAPA ILE SIFA TUKUFU
 
Mwenye msimamo wa VPL aniwekee hapa please, jumapili yangu ishaharibika. Nilikuwa na furaha zangu...
 
Kwahiyo Mikia mtakuwa na michezo 30 point 32, msimu huu mtaishia kuonja kachumbari tuu harufu na ladha ya pilau mtuachie wenyewe
Ninavyojua mimi mechi nyingi zaidi kuchezwa na timu ya VPL msimu huu ni 26. Hiyo michezo 30 unayosema maana yake ni kwamba Simba imeshamaliza mechi 26 za ligi na kupendelewa kurudia mechi nyingine nne zaidi
 
Masahihisho ni 20 games. SORRY ALL
 
All Africa Games Qualifier ( Women) ;
FT' Zambia (The She-polopolo) 2 - 4 Tanzania ( Twiga Stars)
 
Back
Top Bottom