Kumbe na Yanga kila siku kufungwa na Simba mnaikomoa Azam. Leo ndio mmetoboa siri.Dewji na Bakhresa. Waarab wapemba wanajuana kwa vilemba. Usijeshangaa majirani zetu wakawa ngazi ili watukomoe.
Mashindano yenye pesa ndefu kuliko ya ngao ya hisani na ya ligi kuu.Kimataifa hawashiriki, ila kitaifa watashiriki mashindano yao ya mtani jembe na mapinduzi.
Simba sio timu mbovu ya kufungwa goli nyingi za fedheha kama Yanga.Manji muhindi kawapeleka waarabu mahakamani. So wana hasira naye. Usijeshangaa siku ya mechi kati ya mikia na azam, mikia ikapigwa hata goli mia ili waikomoe yanga tuu😄😄😄😄
Ni sawa na mke anayemkashifu mumewe eti mwanaume suruali wakati ananyonyesha mapacha huku vitoto vingine vitano viko shule.Ila anayefanya mzimie mkikutana ni ......
Unataka kukimbia muhogo wa jang'ombe? Kwanza hata msipokuja lile kombe na milioni 100 kila mwaka ni mali yetu tu. Tunaweza kuialika hata Barcelona tukacheza nayo mechi ya kirafiki then tunakabidhiwa mzigo wetu tunasepa.Ina maana Yanga tutakutana na Simba huko tena? Hivi hakuna jinsi ya kuachana na mashindano hayo?
Na mtu ameliwa, tunashinda pale tunapotakaSimba leo lazima ale "MUTU"
Soma ubaoBaada ya dakika 90, Matokeo yatakuwa Simba 0, Ruvu shooting 1
Maumivu msimbazi.
Tatizo la vifurushi vya bure mkuu....unajifurahisha ili masaa yaende tu.
Hamuachi kuutajataja mkia kwa kuwa unawaburudisha kila mkikutana nao..Ruvu Shooting mkawe kichwa, Simba wawe mkia.
Ina maana Yanga tutakutana na Simba huko tena? Hivi hakuna jinsi ya kuachana na mashindano hayo?