VPL: Simba SC vs Ruvu shooting na Coastal Union vs Azam FC

VPL: Simba SC vs Ruvu shooting na Coastal Union vs Azam FC

Manji muhindi kawapeleka waarabu mahakamani. So wana hasira naye. Usijeshangaa siku ya mechi kati ya mikia na azam, mikia ikapigwa hata goli mia ili waikomoe yanga tuu😄😄😄😄
Simba sio timu mbovu ya kufungwa goli nyingi za fedheha kama Yanga.
 
Ina maana Yanga tutakutana na Simba huko tena? Hivi hakuna jinsi ya kuachana na mashindano hayo?
Unataka kukimbia muhogo wa jang'ombe? Kwanza hata msipokuja lile kombe na milioni 100 kila mwaka ni mali yetu tu. Tunaweza kuialika hata Barcelona tukacheza nayo mechi ya kirafiki then tunakabidhiwa mzigo wetu tunasepa.
 

Attachments

  • 1427059007369.jpg
    1427059007369.jpg
    39.7 KB · Views: 102
  • 1427059034080.jpg
    1427059034080.jpg
    27.8 KB · Views: 114
Ina maana Yanga tutakutana na Simba huko tena? Hivi hakuna jinsi ya kuachana na mashindano hayo?

nmecheka sana jabulani.... well yanga mwaka ujao wamesema hawatacheza tena na simba. wao wata concentrate mechi nyingine ila makombe yote na mechi zinazoihusisha simba hawatasiriki au kucheza wameshatoa tamko hilo na TFF wamesema sawa wamewaelewa. so usihofu ndugu yangu yanga haitakutana tena na simba mpaka ikifikia hatua ya kuwa team nzur.
 
Back
Top Bottom