VPL: Simba SC vs Ruvu shooting na Coastal Union vs Azam FC

VPL: Simba SC vs Ruvu shooting na Coastal Union vs Azam FC

Jukwaa limepoa kweli watani pamoja na kufunga lakini bado hamji jukwaani.
cc Masuke Katavi
n.k
 
Last edited by a moderator:
Hii ligi ishanichosha mimi, itanipa ugonjwa wa moyo bure.
Ligi imekuwa ngumu, leo msimamo hivi. Siku mbili ushavurugika, leo ndiyo maini na figo vimekaangika.
Kiukweli roho imeniuma hawa mikia kushinda. Ruvu waone kwanza...
 
Back
Top Bottom