VPL: Simba v Prisons 28-02-2015

VPL: Simba v Prisons 28-02-2015

Ibrahim Hajib tena goli la pili. Dak 22 Simba 2-0 Prison.
 
Dar mjiadhari kupita msimbazi baada ya mechi kwisha maana leo watakuwa wanagawana nondo za madirisha na milango
 
duh kweli prison daraja la kwanza linawangoja kwa hamu hata simba anawafunga?
 
Kipa wa Prison achunguzwe, haiwezekani apangue mpira kwa kumpasia adui.
 
Ratiba ya simba siku hz,kila mechi wanayoshinda inayofatA wanafungwa,nawaombea kila la heri mshinde mechi ya leo ili mechi ijayo.....
 
Back
Top Bottom