Kuna siku nilikuwa nasoma makala moja ambayo ndani yake Betram Mwombeki alikuwa akihojiwa...
Alitaja kuwa moja ya mambo yaliyomkimbiza Msimbazi ni huo ulozi ulozi...
Hizi timu zote zimebobea tu kwenye ndumba...
Refa kumamamaeeeeeeeeee
Mazingira ya kutolewa hiyo adhabu ya penati ilikuwaje? inaonekana ilikuwa ya kuonewa ndo maana wamekosa.
Kuna siku nilikuwa nasoma makala moja ambayo ndani yake Betram Mwombeki alikuwa akihojiwa...
Alitaja kuwa moja ya mambo yaliyomkimbiza Msimbazi ni huo ulozi ulozi...
Hizi timu zote zimebobea tu kwenye ndumba...
Dk 90 zimemalizika na zimeongezwa dk 4 na sasa ni dk 93
Yanga 1 - 1 Azam
Aishi Manula yupo chini...
Muda uliobakia hautoshi hata kwa kisu kupenya kwenye koromeo la njiwa...
Mpiraaaaa umekwisha
Yanga 1 - 1 Azam
Ngoma na Tchetche kila mmoja kila kipindi wamezifungia timu zao...
Simba Na Mbeya City imeishaje?
Kama imeisha hivyo basi ni vyemaMC 0-1 Simba
Kama imeisha hivyo basi ni vyema