Ebwana nimeota yanga tumepigwa 3-0. Ila nakataa katika jina la yesu iwe vice versa is true.
Kikosi cha Azam FC kinachoanza leo ni
1.Aishi Manula
Agrey Morris
David Mwantika
Serge Wawa Pascal Shomary Kapombe Farid Mussa
Shah Malik
Kipre Balou
Himidi Mao
Sure boy Allan Wanga John Bocco Akiba Mwadini Ally Kipre Tchetche Ramadhan Singano Frank Domayo Said Morad Erasto Nyoni Mudathir Yahya
Sina shaka kabisa na Mnyama mkali wa Mwituni.. Naimani leo ataendeleza maangamizi kama kawaida yake.
Mkuu, historia ya mnyama pale Sokoine Stadium, Mbeya sio nzuri. Akijitahidi sana na sare!
Nina wasiwasi kiungo ya yanga bila fundi niyo, nadhani azam watamiliki dimba sanaaa