VPL: Super Saturday 17/10/2015

VPL: Super Saturday 17/10/2015

Ebwana nimeota yanga tumepigwa 3-0. Ila nakataa katika jina la yesu iwe vice versa is true.



Hiyo ndoto wala usiikumbuke kwani inaweza leta madhara kwetu.

Azam lazima akae pamoja na wifi yake Simba.
 
Mechi zingine siku ya leo ni..

1. Majimaji FC Vs African Sports

2. Ndanda FC Vs Toto Africans

3. Stand United Vs Prisons

4. Coastal Union Vs Mtibwar Sugar
 
Kikosi cha Azam FC kinachoanza leo ni
1.Aishi Manula
Agrey Morris
David Mwantika
Serge Wawa Pascal Shomary Kapombe Farid Mussa
Shah Malik
Kipre Balou
Himidi Mao
Sure boy Allan Wanga John Bocco Akiba Mwadini Ally Kipre Tchetche Ramadhan Singano Frank Domayo Said Morad Erasto Nyoni Mudathir Yahya
 
Kikosi cha Azam FC kinachoanza leo ni
1.Aishi Manula
Agrey Morris
David Mwantika
Serge Wawa Pascal Shomary Kapombe Farid Mussa
Shah Malik
Kipre Balou
Himidi Mao
Sure boy Allan Wanga John Bocco Akiba Mwadini Ally Kipre Tchetche Ramadhan Singano Frank Domayo Said Morad Erasto Nyoni Mudathir Yahya

Kila la heri ndugi zetu Azam.
 
Yanga nakuomba uka m-nyosso azam leo uwanja wa taifa
pia simba nae apate balaa la kubugizwa magoli ya kutosha
na mbeya city,.
 
Last edited by a moderator:
"Nitachezesha mabeki wa kati watatu badala ya wawili kama ilivyozoeleka unajua nataka tusifungwe kabisa na Simba na hata tukiruhusu mabao basi yasiwe mengi ila lengo ni ushindi.".. Kauli hii kaitoa kocha Mkuu wa Mbeya City Dk. kadhaa kabla ya mechi kuanza.

Kumbe Mbeya City, leo wanaingia uwanjani kupunguza idadi ya magoli tutakayowafunga... BASI SAWA.
 
Sina shaka kabisa na Mnyama mkali wa Mwituni.. Naimani leo ataendeleza maangamizi kama kawaida yake.

Mkuu, historia ya mnyama pale Sokoine Stadium, Mbeya sio nzuri. Akijitahidi sana na sare!
 
Mkuu, historia ya mnyama pale Sokoine Stadium, Mbeya sio nzuri. Akijitahidi sana na sare!

Mkuu hata Mkwakwani ilikua hivyo.. ila yaliyotokea msimu huu, Wagosi hawana hamu kabisa Mnyama.
 
Back
Top Bottom