"Nitachezesha mabeki wa kati watatu badala ya wawili kama ilivyozoeleka unajua nataka tusifungwe kabisa na Simba na hata tukiruhusu mabao basi yasiwe mengi ila lengo ni ushindi.".. Kauli hii kaitoa kocha Mkuu wa Mbeya City Dk. kadhaa kabla ya mechi kuanza.
Kumbe Mbeya City, leo wanaingia uwanjani kupunguza idadi ya magoli tutakayowafunga... BASI SAWA.
Kikosi cha Azam FC kinachoanza leo ni
1.Aishi Manula
Agrey Morris
David Mwantika
Serge Wawa Pascal Shomary Kapombe Farid Mussa
Shah Malik
Kipre Balou
Himidi Mao
Sure boy Allan Wanga John Bocco Akiba Mwadini Ally Kipre Tchetche Ramadhan Singano Frank Domayo Said Morad Erasto Nyoni Mudathir Yahya
sijawahi kuona mbeya city akifungwa mikia fc
Yanga 1-0 azam
Simba 1-0 mbeya city
Leo referee ni nani ? Siyo Nkongo Bin Azam?
Mpira unaanza,
Yanga 0-0 Azam
Mbeya City Fc 1 Simba 0
Yanga 1 Azam 0
Mbeya City Fc 1 Simba 0
Yanga 1 Azam 0
basi sasa mambo ya utabiri yanatosha tunataka live updates
Unatoa matokeo au utabiri?