namanyele
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,852
- 610
"Nitachezesha mabeki wa kati watatu badala ya wawili kama ilivyozoeleka unajua nataka tusifungwe kabisa na Simba na hata tukiruhusu mabao basi yasiwe mengi ila lengo ni ushindi.".. Kauli hii kaitoa kocha Mkuu wa Mbeya City Dk. kadhaa kabla ya mechi kuanza.
Kumbe Mbeya City, leo wanaingia uwanjani kupunguza idadi ya magoli tutakayowafunga... BASI SAWA.
sijawahi kuona mbeya city akifungwa mikia fc