VPL: Super Saturday 17/10/2015

VPL: Super Saturday 17/10/2015

"Nitachezesha mabeki wa kati watatu badala ya wawili kama ilivyozoeleka unajua nataka tusifungwe kabisa na Simba na hata tukiruhusu mabao basi yasiwe mengi ila lengo ni ushindi.".. Kauli hii kaitoa kocha Mkuu wa Mbeya City Dk. kadhaa kabla ya mechi kuanza.

Kumbe Mbeya City, leo wanaingia uwanjani kupunguza idadi ya magoli tutakayowafunga... BASI SAWA.

sijawahi kuona mbeya city akifungwa mikia fc
 
Kikosi cha Azam FC kinachoanza leo ni
1.Aishi Manula
Agrey Morris
David Mwantika
Serge Wawa Pascal Shomary Kapombe Farid Mussa
Shah Malik
Kipre Balou
Himidi Mao
Sure boy Allan Wanga John Bocco Akiba Mwadini Ally Kipre Tchetche Ramadhan Singano Frank Domayo Said Morad Erasto Nyoni Mudathir Yahya

Kwa hiyo Azam inaanza na first twelve?
 
Timu zinaingia Uwanjani.
Kila la kheir timu ya Wananchi dar Young Africans
 
Azam kama ndanda Yanga kama bayern munich na busungu kaanza kuwa mtamu kama Lewandowski
 
Back
Top Bottom