VPL: Tanzania Prison vs Simba & Yanga vs Polisi Tanzania

Hii mechi wana Simba wenzangu nilishahisi dalili za kupigwa. Tusipokuwa makini tunapoteza
 
Matusi sio sawa mkuu. Na kama lazima sana kumtukana mtukane yeye usimtukane mama yake. Huyu mama amehusika nini hapa kwenye ubishani wenu wa mpira?
Bora umemwambia mkuu,tutaniane sio kutukanana,Mods wanaona
 
T.Prison msinifurahishe namna hii Leo..
Maana sio nafurahia ushindi wa Yanga Bali nafurahia kufungwa kwa Simba maana najua sisi Yanga ushindi ni lazima kwa kikosi kipana tulichokuwanacho na kimesheheni kila aina ya maufundi...
Yanga oyeeeeeeeh!!

Tusisahau tar 28 kwenda kumpa kura za ndiyo mpiganaji Lissu
2020 twendeni na Lissu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…