Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtani nikupe matokeo au ushayapata?Nipo chimbo hakuna hata umeme, nategemea muweke humu nione
Vip ule msemo wao eti ukiona yanga anaongoja ujue simba hajacheza umeishia wapi leoPira maharage. [emoji23][emoji23][emoji23]
Nipo Pacha, tunaonana mechi za Yanga kama hiviNa mie nashangaa eti Pacha. Upo?
😭😭😭Vip ule msemo wao eti ukiona yanga anaongoja ujue simba hajacheza umeishia wapi leo
Toka lini mkawa na hizi kauli nyie mikiaKwenye mpira kuna matokeo 3[emoji848][emoji848][emoji1322][emoji1322]
Ewaaaa!! Umeona eePrisons wamecheza pira gwaride. 😂😂😂😂
Huwezi usikia leo best.Vip ule msemo wao eti ukiona yanga anaongoja ujue simba hajacheza umeishia wapi leo
HahahahaMtani nikupe matokeo au ushayapata?
Mkuu haya sio mafanikio ya Awamu ya 5?Huyu morison anaaruka ruka tu hamna mchezaji humuu
Huu uzi wako umemuachia nani we mkia?Karibuni tufuatilie mechi hizi pamoja
Tushuhudie vigogo hawa watakavyofanya hii Leo
Utaburi wangu
Prison 0- 3 Simba
Yanga 1- 3 Tanpolis
OKW BOBAN SUNZU GENTAMYCINE @Forteleza na wengine toka vyurani
Updates
Kikosi cha simba
Manula
Kapombe
Tshabalala
Nyoni
Onyango
Mkude
Mzamiru
Bwalya
Dilunga
Kondeboy
Ilanfya
Morrison
Yanga
Mnata
Kibwana
Mstaafa
Mwamnyeto
Lamine
Mkono
Feisal
Nionzima
Yocuba
Tk
Farid
Polisi Tz
Vipi kikosi umekipata bwa sheeUpdates
Kikosi cha simba tunafuatilia cha Yanga na Polisi
Maana kule tuna rashid juma,Marcel kaheza