Sesten Zakazaka
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 10,559
- 19,101
Mazoea yana tabu Shadeeya mamii. Tumezoea ubingwa, tumezowea ufalme, tumezowea mataji, tumezowea kushinda tena kwa ushindi mnono sasa bahati mbaya tukiteleza mechi moja inakua furaha na shangwe kubwa sana kwa wapinzani wetu. Tafsiri yake ni kwamba hawaamini kua mbabe wa wababe siku mojamoja usingizi unampitia halafu panya anamchezea sharubu kisha anakimbia kujifichaπ€£π€£π€£Hadi ifike nyie mshaumia sana. ππ
Alinichekesha Mtani Faru Kabula eti akasingizia yuko chimbo halafu hakuna umeme nikawa najikumbuka mie msimu uliopita. ππ
Ama kweli kipigo noma.
Yaan hadi aibu ujueDuuh!! Hadi nimesikitika best.
Doooh!! Gazeti lote hili. LolMazoea yana tabu Shadeeya mamii. Tumezoea ubingwa, tumezowea ufalme, tumezowea mataji, tumezowea kushinda tena kwa ushindi mnono sasa bahati mbaya tukiteleza mechi moja inakua furaha na shangwe kubwa sana kwa wapinzani wetu. Tafsiri yake ni kwamba hawaamini kua mbabe wa wababe siku mojamoja usingizi unampitia halafu panya anamchezea sharubu kisha anakimbia kujifichaπ€£π€£π€£
#gazetindiolinawafaachurafc
Si unajua hata Barcelona kuna siku anatelezaDoooh!! Gazeti lote hili. Lol
Ama kweli kipigo sio kitu poa. πππ
Hahahaaa. PoleSi unajua hata Barcelona kuna siku anateleza
Panya kakuchezea sharubu au kakupiga,hapo ndio mjue hamna kikosi kipana jana mmecheza mpira mbovu sana.Mazoea yana tabu Shadeeya mamii. Tumezoea ubingwa, tumezowea ufalme, tumezowea mataji, tumezowea kushinda tena kwa ushindi mnono sasa bahati mbaya tukiteleza mechi moja inakua furaha na shangwe kubwa sana kwa wapinzani wetu. Tafsiri yake ni kwamba hawaamini kua mbabe wa wababe siku mojamoja usingizi unampitia halafu panya anamchezea sharubu kisha anakimbia kujifichaπ€£π€£π€£
#gazetindiolinawafaachurafc
Mlianza lini kuwa na sifa hizi? Sifa yenu kuu ya miaka ya hivi karibuni ni kupigwa 5Mazoea yana tabu Shadeeya mamii. Tumezoea ubingwa, tumezowea ufalme, tumezowea mataji, tumezowea kushinda tena kwa ushindi mnono sasa bahati mbaya tukiteleza mechi moja inakua furaha na shangwe kubwa sana kwa wapinzani wetu. Tafsiri yake ni kwamba hawaamini kua mbabe wa wababe siku mojamoja usingizi unampitia halafu panya anamchezea sharubu kisha anakimbia kujificha[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
#gazetindiolinawafaachurafc
Apedomia Ni nomwaaaaAsalaleee.....Vyura mmeitana huku...mmejazana....! yaani nyuzi hizi siku za karibuni vyura huwa wanazikimbia na kudai wanatumia uzi wao Yanga Afrika kwa woga na kutojiamini. Sasa muwe mnaanzisha nyuzi na nyie ili kilinge kinoge.....mnavyokimbia sio poa,sie ni watani tu.
Wale makocha wa makipa wanalipwa kwa kazi gani.Dunianiani kuna makhanithi wengi ila Manula ni khanithi namba moja.
kila siku anarudia makosa yaleyale kwanini lakini,mechi na mtibwa alitoka golini kama alivyotoka hii mechi na Prison.
kufungwa kupo hata timu bora duniani zinafungwa lakini sio kufungwa kikhanithi namna kama ya Manula.
wanamsimbazi tunakosa raha mtaani kwa kero za wanautopolo kwanini lakini.haaa!