Simba akishinda leo atakuwa na point ngapi ?. Atabakiwa na mechi ngapi kumaliza ligi ?. Atahitaji point ngapi kumfikia Yanga ambaye anaweza kufungwa mechi zote zilizobaki ?
From experience second half mgambo
watarudisha magoli yote. Count my words
Dakika ya 15 Mnyama 2: Migambo 0
Dakika ya 15 Mnyama 2: Migambo 0
Yebo yebo mpo?
mpesa inahusika hapa..nasikia wamechoka kauza mechi nawao wameanza kulangua
Yebo yebo bila mbeleko za marefa na kununua mechi kadhaa wasingeuona ubingwa mwaka huu.....
masikini akipata matako hulia bwataaaa!!!!!
Yebo yebo bila mbeleko za marefa na kununua mechi kadhaa wasingeuona ubingwa mwaka huu.....
Kimfaacho mtu chake