Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,962
- 7,830
Azam anataka ubingwa, mikia fc anataka nafasi ya pili. Hili game mbona sielewi kabisa ?. Ila ninachojua mimi mikia fc wamebaki kuwa wasindikizaji ligi ya bara kama kagera, mtibwa, coast na wenzao wengine, pia mikia fc wamebaki kucheza na historia ya mambo ya kale ambayo hayawezi kujirudia. Kuchukua ubingwa ni ndoto, kushiriki mashindano ya kimataifa pia ndoto kwao. Tunaomba zenj wasifute mapinduzi cup walau majamaa wapande meli.
Ndio tabu ya kuchukua ubingwa wa mezani