VPL: Tar. 22\04\2015: Simba vs Mgambo JKT

Huyu Okwi huyu... ndo maana Yanga wanamchukia sana. Okwi mmoja ni sawa na washambuliaji 3 wa Yanga. the man anacheza kwa kujituma sana yaan ni kama one army man.
 
Ingekuwa kweli hayo basi Mikia ingeongoza ligi.
 
Ubingwa uleeeee,,,,,,,,,oooh sorry nafasi ya pili ileeeee
 
Huku mtaani mashabiki wa mikia wanavyoshangilia, duh! Utadhani wanachukua ubingwa!
 
sibonike hilo ukiwauliza akina Manji wanalijua wewe tu ndo unakataa hujui namna gan mpaka sasa manji anateseka sana kwa suala la okwi kurudi siba na halaf kuja kuwagonga bao moja lenye kutia uchungu sana pamoja na ulinzi mkubwa aliokuwa amewekewa. simba ni team nzuri tatizo ni siasa ndizo zinazoiangusha kwa sasa ni kama wanaamua leo washinde kesho wafungwe. ila kama wakiwekana sawa Yanga mtapata wakati mgumu sana ile enzi ya kupigwa tano ndo itarud ila kwa sasa yanga mnafurah coz mnafungwa moja 2,3 na sometime mnatoa draw.
 
upo sawa kabisa
 
Back
Top Bottom