VPL: Tar. 22\04\2015: Simba vs Mgambo JKT

VPL: Tar. 22\04\2015: Simba vs Mgambo JKT

Azam anataka ubingwa, mikia fc anataka nafasi ya pili. Hili game mbona sielewi kabisa ?. Ila ninachojua mimi mikia fc wamebaki kuwa wasindikizaji ligi ya bara kama kagera, mtibwa, coast na wenzao wengine, pia mikia fc wamebaki kucheza na historia ya mambo ya kale ambayo hayawezi kujirudia. Kuchukua ubingwa ni ndoto, kushiriki mashindano ya kimataifa pia ndoto kwao. Tunaomba zenj wasifute mapinduzi cup walau majamaa wapande meli.


Ndio tabu ya kuchukua ubingwa wa mezani
 
Kudadeki,simba wameanza ligi sasa

Shuka wakati kumekucha. Mikia size yao kupigania nafasi na Kagera, Mtibwa, Mbeya City nk. VPL sasa ni kama La Primera Liga Kule Spain - Ni Barcelona au Real Madrid kupokezana kijiti. VPL sasa ni Yanga na Azam kupokezana kijiti. Mikia wakijitahidi sana ni nafasi ya tatu.
 
Hahaha leo watajuta hawa Mgambo, nani kamwaga chakula changu?
 
Ushawahi kula pweza kwenye giza?? basi ndio leo Mnyama anavyofanya hapa Taifa
 
Kweli simba wameanza ligi kama ulivyosema yahoo.
SIMBA 4 0 MGAMBO JKT
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom