VPL: Yanga vs African Lion tarehe 23. 12. 2016: tupia update humu

VPL: Yanga vs African Lion tarehe 23. 12. 2016: tupia update humu

Siku nyingine usilete uzi kama hutaweza kuwapa watu updates
 
Hayo ndo matokeo ya kuwacheleweshia wachezaji mishahara yao kwa zaidi ya wiki 2!
 
Mpira wa Afrika wa ajabu sana
Yanga na jina lao kubwa wachezaji hadi leo mshshara wao wa November hawajalipwa!
 
Back
Top Bottom